SUGU AKAMATWA KWA KUMTUSI WAZIRI MKUU
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa
Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile
kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda.
Hivi karibuni, Mh. Sugu alidai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama Mizengo pinda.
Comments
Post a Comment