NEYMAR ASAJILIWA NA BARCELONA

Neymar asajaliwa na Barcelona

Neymar asajaliwa na Barcelona

Klabu ya Barcelona, imekubali kumsajili mshambuliaji matata kutoka Brazil Neymar kutoka kwa klabu ya Santos. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, anatarajia kukamilisha uasajili huo siku ya Jumatatu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Barcelona, vilabu hivyo viwili vimeafikiana kuhusu usajili wa mchezaji huyo. Barcelona imemtaja mshambuliaji huyo kama mchezaji ambaye ana uwezo wa kuwa

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

NINI MAANA YA MAPENZI

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU