Posts

NJIA ZA UFUGAJI WA KUKU

     Mwandishi:Samwel mlawa Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la umasikini wa kipato na hali mbaya ya maisha, tunalazimika kufanya jukumu letu kuu la kumuomba sana Mungu ili atuwezeshe kujua na kufahamu mbinu mbalimbali kisha kujifunza na kufahamu kwa makini tena kwa njia rahisi mno za kututoa katika hali hii ya umaskini uliokithiri. Ikumbukwe kwamba, kujifunza kwa msisimko tu bila ya kuyaingiza mambo hayo uliyojifunza katika mazoezi na vitendo vya makusudi maishani mwetu ni wazi kwamba hayatatusaidia, bali yatabaki vichwani mwetu...

YANGA HII MTAIKOMA

Image
 

NI MPAMBANO ALIKIBA VS DIAMOND

Image
  Kwa ufupi Wasanii hao wanapambana katika tuzo saba, ingawa Diamond anaonekana kuwa na nafasi zaidi ya kumuacha Ali Kiba kutokana na kutajwa kwenye tuzo 10 na hivyo kuwa na nafasi ya kufikia tena rekodi yake ya kuzoa tuzo nyingi kama mwaka jana.

MZIMU WA NYERERE WAWATESA WAGOMBEA WA URAIS 2015

Image
Kwa ufupi Makada hao pia wamezuru kaburi la Baba wa Taifa na wengine kutumia kuaminiwa kwake na wananchi wakati akiwa na umri mdogo ili kujenga hoja kuwa uzoefu na umri si suala la kuzingatiwa katika kupata kiongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano.

MAYAI YA KWALE KAMA KIKOMBE CHA BABU

Image
B ado nchi yetu ni kama haina viongozi kabisa kuna hili jambo limeibuka la mayai ya kwale kutibu magonjwa sugu, Bila kuthibitishwa na wataalamu na Serikali ipo likizo trey ya mayai ya kwale ni tsh.15,000 hadi tsh. 20,000, wagonjwa wanapewa dozi ya mayai mabichi kwa kuchanganya na asali wengine wanaambiwa wachemshe wale kiini chake! sasa ukwel upo wapi? Karibuni wanaJamiiForums kwa mjadala wa kitaalam zaidi na kwa wazoefu waliotumia mayai haya na kupona. Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na gumzo kubwa hapa nchini na hata nje ya nchi juu ya tiba ya kimaajabu maarufu kama

JE WATAKA KUJUA NAMI NAKUJUZA NANI NI NANI URAISI PROFESA IBRAHIM LIPUMBA

Image
  Kwa ufupi Alipata elimu ya msingi mkoani Tabora mwaka 1959 katika Shule ya Wamisionari wa Sweden waliokuwa Tanzania wakati huo, shule hiyo iliitwa “Swedish Free Mission Primary School”, alimaliza mwaka 1962 na akasoma Shule ya Kati (Middle School) mwaka 1962 – 1966 kabla ya kusoma kidato cha kwanza hadi cha nne katika Shule ya Sekondari Tabora mwaka 1967 – 1972 kisha akaelekea mkoani Dar es Salaam na kusoma kidato cha tano na sita katika Shule Sekondari ya Pugu kati ya mwaka 1971-1972...

AFISA WA FIFA AKIRI ALIPOKEA RUSHWA...

Image
Chuck Blazer Wizara ya Sheria ya Marekani imechapisha taarifa inayoelezea jinsi Afisa wa zamani wa FIFA Chuck Blazer alivyokiri kuwa yeye pamoja na wenzake walipokea rushwa ikiwa ni pamoja kuichagua Afrika Kusini kuwa mwenyeji wa fainali ya kombe la dunia mwaka 2010. Katika taarifa hiyo imeweka wazi mtandao wa malipo ya rushwa ulivyokuwa ukifanywa ndani ya shirikisho la soka duniani FIFA, taarifa