Posts

MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA

Image
                                                                    Wema Sepetu Na Mwandishi Wetu . MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia  mwilini mwake. Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema  kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu. NI KITU GANI HICHO?

WOLPER, ZAMARADI...bifu

Image
s Jacqueline Wolper. Na Shakoor Jongo STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper amemrushia maneno ya lawama Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema kuwa ni mnafki na adui yake mkubwa katika maisha.

EMMANUEL OKWI ALIVYOTUA DAR KUJIUNGA NA YANGA LEO

Image
Emmanuel Okwi akilakiwa na shabiki maarufu wa Yanga, Steven (kulia) katika uwanja wa ndege alipowasili.

TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA HOOD ILIYOUA MMOJA NA KUJERUHI 27 MKOANI MORO LEO

Image
Wananchi wakilishuhudia basi la Hood baada ya kupinduka eneo la Melela-Mlandizi, Mvomero mkoani Morogoro.

Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'

Image
Wananchi wa Afrika Kusini wamekuwa wakikesha kumkumbuka Mandela Familia ya Hayati Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu Mandela Kufariki Alhamisi. Wameelezea kuwa katika kipindi kigumu huku wakitarajia wiki moja inayokuja kuwa wakati mwingine mgumu kwao. "Msingi wa familia yetu umetuondoka,’’ alisema msemaji wa familia ya Mandela Luteni Generani Themba Matanzima ingawa alisisitiza kuwa Mandela daima atasalia katika mioyo yao.

Man U kipigo mfululizo

Image
  Manchester United Jumamosi lipata kipigo chake cha pili nyumbani katika muda wa siku nne baada ya kulazwa bao moja bila na New Castle. Mchezaji wa New Castle Yohan Cabaye ndiye aliipatia kilio Man U huku kwao ikiwa kicheko baada ya kushinda Manchester United kwa mara ya kwanza nyumbani Old Trafford tangu mwaka 1972.

Nelson Mandela aaga dunia

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ameaga dunia. Mandela amefariki huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliongoza Afrika Kusini kutoka mikononi mwa watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27..