MOURINHO NA HAZARD NDIO BORA EPL

Mourinho
Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya tatu.
Akihudumia kipindi chake cha pili katika kilabu hiyo rais huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 52 aliiongoza Chelsea kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka mitano pamoja na
 kombe la Ligi

 . 
Eden Hazard 
Kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard ambaye aliifungia Chelsea mabao 20 alitangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi ya Uingereza msimu huu.

Comments

Popular posts from this blog

TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU

FAIDA TISA ZA MBEGU ZA MABOGA KATIKA MWILI WA BINADAMU

UMUHIMU WA KUJIFUNZA SAIKOLOJIA